UTT Asset Management e Investor Services (UTT AMIS) è una società di gestione di fondi che si occupa di creazione, avvio e gestione di servizi di investimento collettivo. L'azienda fornisce anche il servizio di gestione patrimoniale. UTT AMIS opera sulla base dei Capital Markets and Securities Act, 1994 (Modificato) e dei Regolamenti di investimento collettivo, 1997. Attualmente la società gestisce cinque fondi che sono Umoja, Wekeza Maisha, Watoto, Jikimu e Liquid Funds.
UTT AMIS ni kampuni ya uwekezaji yenye kuhusika na uanzishaji na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja.Kampuni hii pia inatoa huduma za usimamizi wa amana (Servizi di gestione patrimoniale) UTT AMIS inafanya kazi zake kutokana na sheria za masoko ya mitaji na dhamana ya mwaka 1994 (iliyorekebishwa) na kanuni ya Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja ya mwaka 1997. UTT AMIS kwa sasa inasimamia mifuko mitano ya uwekezaji ambayo ni Umoja, Wekeza Maisha, Watoto, kujikimu na Ukwasi.